Kiwanja chenye msingi wa nyumba ya kisasa Goba mwisho kinauzwa

kichenchele

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
539
176
Kina ukubwa wa 1800 sq meter,pamoja na msingi wa nyumba ya kisasa ,gari inafika mpaka kwenye kiwanja, kwa wenye kuhitaji wanaweza kuona baadhi ya picha za eneo kwa kuni- add kwenye whatsap kupitia namba hii 0716904091, au kwa kuni- pm ili tuweze kuongea mengi juu ya bei na vitu vinavyohusiana na suala hili. Ahsanteni sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom