Ukubwa wa Kiwanja 1000 sqm.
Kipo Goba, umbali wa kilomita moja kutoka barabara ya lami.
Vimepimwa na kina hati.
Bei ni Tshs 60,000,000 ( 60 Milioni )
Wasiliana nasi - 0742141467
Boss Viwanja ambayo vipo karibu na barabara kuu ya Lami, thamani yake uwa Juu ukilinganisha na vile vilivyombali, hii ni sehemu zote sio goba tu. Pia viwanja vilivyopimwa vyenye hati thamani yake pia uongezeka.
Goba pia yapo maeneo unaweza kuyapata kwa bei ya chini, vipo viwanja hadi vya Milioni 5, lakini ndiyo hayana hati na pia yapo mbali na barabara ya lami ( umbali wa kilomita 4 au zaidi)