sudy mlela Member Joined Jul 15, 2013 Posts 35 Reaction score 5 Jul 30, 2013 #1 Kiwanja chenye ukubwa wa 26m/ 24m kinauzwa, kipo chang'ombe karibu na kituo cha mafuta cha camel, Kwa atakayehitaji ani pm..
Kiwanja chenye ukubwa wa 26m/ 24m kinauzwa, kipo chang'ombe karibu na kituo cha mafuta cha camel, Kwa atakayehitaji ani pm..
Kilimo JF-Expert Member Joined Sep 27, 2011 Posts 777 Reaction score 194 Jul 30, 2013 #2 mkuu weka bei basi ili wengi waone, na je kimepimwa? Kina hati au ofa?
sudy mlela Member Joined Jul 15, 2013 Posts 35 Reaction score 5 Jul 30, 2013 Thread starter #3 Kimepimwa na hati ipo kaka, bei ni 130m