Kiwanja cha mradi kinauzwa-Buyuni 2000sqm

Vakwavwe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2009
Posts
503
Reaction score
100
WanaJamvi,
nauza kiwanja chenye ukubwa wa sqm 2000, kipo Buyuni eneo lililopimwa na wizara ya ardhi mwaka 2006/2007.
kipo located sehemu nzuri sana as per the plan, kinalipiwa rent kila mwaka na kwa sasa kuna mradi mkubwa wa nyumba wa mfuko wa PPF unaendelea kwa kasi kubwa.

Bei ni ya serikali iliyopo sasa ambayo ni TZS6000/sqM though maelewano yanaweza kuwepo kidogo kwa serious buyer.

kwa anayehitaji au dalali niPM

block gani mkuu?

mkuu,unauza zote kwa mtu mmoja?? nataka kitu kama 150sqM

Kuna ueme?

umeme bado, ila viwanja hivi vimepimwa na kwa kuwa kuna mradi mkubwa wa PPF naamini umeme utapelekwa mapema.
plan ya Magufuri the then waziri wa ardhi ilikuwa kupeleka miundo mbinu yote mapema kabla watu hawajaanza kujenga.
barabara zilichongwa vizuri na kila kiwanja kina barabara.

Mi ninacho kikubwa kidogo kwa hichi hapa mezani, kina 2200sq mtr, bei yangu ni 7000 kwa sqmt moja, so ni 15,400,000. Nauza bei hii kwasababu nimeshakiendeleza, nimekisafisha vizuri, nimezungushia nguzo za zege kiwanja kizima, pia nimepanda michongoma iliyokwisha chipua na nimerekebisha barabara iliyoachwa hoi na wananchi. Kiko blok 22,kiwanja ni tambarare, kwa sasa nimepanda matikiti maji ili pasikae bure. Serious buyer anipm au apige namba 0714881500.

Shukran

M 8 hauchukui, nije nikupatie tarehe 27 September, 2011

Hapana mkuu, m8 bora niendelee kupalima matikiti, ntapata hiyo hela katika misimu miwili na kiwanja changu ntaendelea kuwa nacho. Jipange vizuri tutafanya tu biashara.

Similar Discussions

Back
Top Bottom