Kiwanja cha corner kinauzwa makumbusho karibia na main road

Senior Boss

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
3,405
3,682
Features zake ni:

1. Kipo makumbusho karibia na lami
2. Ni cha corner
3. Square meter1500+
4. Kinafaa kuwa yard ya magar, hotel, office building or appartments
5. Price Tsh 1.7 Billion (Maongezi yapo)
6. All legal documents available.
7. Kama huitaji kununua lakini unamfahamu mtu potential wa kununua nijulishe, utapewa commission nono kabisa.

Shukrani zangu za dhati kwenu.
 
Mimi namfahamu mtu potential anayeweza kukinunua, naye ni LOWASA. Nipe commission yangu nono sasa.
 
Features zake ni:

1. Kipo makumbusho karibia na lami
2. Ni cha corner
3. Square meter1500+
4. Kinafaa kuwa yard ya magar, hotel, office building or appartments
5. Price Tsh 1.7 Billion (Maongezi yapo)
6. All legal documents available.
7. Kama huitaji kununua lakini unamfahamu mtu potential wa kununua nijulishe, utapewa commission nono kabisa.

Shukrani zangu za dhati kwenu.

namba yako muhimu nimeku pm nipe your contact
 
Back
Top Bottom