Kiwanja cha bei rahisi kinaitajika

El nino jr

Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
66
Reaction score
24
Habari za mchana wa jf,kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza nimechoka kulipa kodi.bajet yng inaanzia mil 1.3.nawasilisha
 
Kipo bagamoyo kijiji cha mwavi kama unaenda msata bei mil 1.5 karibu
 
Habari za mchana wa jf,kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza nimechoka kulipa kodi.bajet yng inaanzia mil 1.3.nawasilisha
Wewe unapendelea maeneo gani?

Taja eneo mona baada ya lingine kulingana na ukaribu wa maeneo unayojipatia rizki.

Mimi niko Dar, nipigie simu tuelekezane mkuu 0744033555
 
Njoo Chanika Mwisho nikuuzie kiwanja cha 1.5 vipimo 15*13
 
Njoo nikuuzie Kibaha Misugusugu 2km kutoka Morogoro road 20x20 bei 1.8m. Waweza kuunganisha hata zaidi ya kimoja. 075540051

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…