Kiwanja buyuni pugu kinauzwa

Kiwanja buyuni pugu kinauzwa

Doi

Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
23
Reaction score
1
Nauza kiwanja pugu buyuni block C.bei mil 5 ukubwa 20*25 kina offer tayari,dalali hatakiwi,mm ndio mwenye mali,ukihitaji tuwasiliane
 
Kaka punguza bei jumapili twende site nikapaone...kule wavamizi kibao isijekuwa kushavamiwa ukaniuzia ugomvi..karibu pm for real business.
 
Nauza kiwanja pugu buyuni block C.bei mil 5 ukubwa 20*25 kina offer tayari,dalali hatakiwi,mm ndio mwenye mali,ukihitaji tuwasiliane

Mimi ningaliomba utoe no, ya simu tuwasiliane nataka nije nikione
Je Pugu Buyuni ni wapi hasa au nikaribu na wapi?
 
Back
Top Bottom