Kiwanja Buyuni kinauzwa haraka

Kiwanja Buyuni kinauzwa haraka

add101

Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
62
Reaction score
6
Natafuta mteja haraka iwezekanavyo ni kiwanja changu mwenyewe, kipo buyuni block 4 Chanika, karibia na kota za PSPF kina hati 99 years (title deed & offer) size sqm 1586, bei million 18 maelewano yapo.
kama ni serious buyer, nicheki 0714 313 621, nikutumie picha on whatsapp.
Dalali haruhusiwi.

Asanteni sana.
 
Bei kwa buyuni ni over exegarated mkuu buyuni tunapajua vema sana
 
Mie nina milioni 6 nikatie nusu yake kama inawezekana.
 
mamii nipigie simu, tuongee tuone kama tunaweza kufkia maelewano.
Asante.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom