Kiwanja bora kabisa Dodoma mjini

Good Neighbour

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2017
Posts
942
Reaction score
899
Habari wakuu
Ninauza kiwanja kiko maeneo ya kisasa dodoma mjini.kimepimwa na kina hati na kina pagale ndani yake.kiko block E na plot no.25!!!
Kiko umbali wa kama mita 130/170 toka barabara kuu ya lami iendayo dsm.maji na umeme vipo
Eneo liko jirani kabisa na best primary and nursery school in dodoma(martin luther school),sheli ya lake oil iko jirani na chuo cha masista cha st gemma(kwenye picha sehemu iliyo na miti mingi(miashori) ).kina ukubwa wa square metres 1000 na bei yake ni milioni 47,maelewano yapo.unaweza ni PM au waweza nitafuta kupitia 0767833496
stevenmasaka@gmail.com
NB:Naomba tuwe na busara mana kuna watu walidhani mimi dalali kuna siku ntawaweka public humu JF mana wanakumbuka kilichotokea waliponifata
 
Morogoro Road wamevunjiwa walio ndani ya Mita 121 kutoka Main Road Halafu Wewe unasema Kiwanja chako kiko Mitan80-90 kutoka Main Road
 
Morogoro Road wamevunjiwa walio ndani ya Mita 121 kutoka Main Road Halafu Wewe unasema Kiwanja chako kiko Mitan80-90 kutoka Main Road
Samahani mkuu nime regulate nadhani sikufanya approximation vizuri ni kama 130/160.kiko safe place i assure you!
 
Morogoro Road ramani ulikuwepo na walijenga kabla ya Mawe kuwepo lakin Greda linasaga saga Nyumba
Kwanza nimeregulate 130/170 mita.
Kumbuka Dodoma ilikuwa na capital development Authority(CDA) since 1973 na wenyeji wa dodoma watakubaliana na mimi huu mji uko well planned(can be the best planned region in the country).sasa huwezi kufananisha kwa hivyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…