Kiwanja chenye ukubwa wa ekari moja maeneo ya njiro kituo cha Tanesco yalipo majenereta ya tanesco, ni kilometa moja kutokea world vision kufika eneo lenyewe na pia lina Bcons zpo kwenye hatua za kupata titledeed. Bei ni Milion 60. Mazungumzo kwenye bei yapo. 0755 033997.