KIWANJA 30m X 22m Kitunda/Kivule 7m

KIWANJA 30m X 22m Kitunda/Kivule 7m

Joined
Nov 17, 2011
Posts
40
Reaction score
7
Karibuni kwa wahitaji;

Kiwanja hiki;
1. Kipo tambarare - huhitaji kusawazisha chochote
2. Majirani wamejenga na wapo wanaoendelea - unajenga na kuhamia (majirani wapo)
3. Kinaangalia barabara kubwa ya mtaa - kinafaa kwa makazi au biashara
4. Barabara zinapitika wakati wote - mitaa imepangika vizuri
5. Ardhi ni ya kichanga - ujenzi ni rahisi (unaweza kuchimba mchanga kiwanjani)
6. Hakina mgogoro wowote - muuzaji ana hati za serikali ya mtaa (hakijapimwa)

Bei ni 7m (maelewano yapo)

Karibu (ni PM kwa taarifa zaidi)
 
Acha u...ga, mwaga data hizo, kivule ipi? Umeme upo? Na weka namba yako ya cm wengine hatujui ku-pm!
 
Hivi Kitunda na Kivule sio sehemu mbili tofauti?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom