Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 36,155
- 30,836
Unadhani amesense kitu gani kisicho cha kawaida, hata ghafla awe mtu mwenye haiba ya hofu na huzuni, huku body language ikiwa katika hali ya kukata tamaa kwa kiwango kile?
Anahisi amekosea wapi kujitetea kikamilifu na kwa umahiri wa kisheria alionao hata amefikia hatua ya kuandika insitement letters za kisiasa kwa anaowaita marafiki zake, huku ukweli ukijidhihirisha wazi kwamba hayo ni mayowe ya kisayansi kwa mtu ambae amekata tamaa, na sasa anajaribu kuchochea chuki kwa umma dhidi ya serikali na muhimili wa mahakama kana kwamba haumtendei haki, kitu ambacho ni nonsense ambayo haitampa ahuweni au huruma katika kujikwamua kwenye mkwamo alimokwama kwa mujibu wa sheria.
Ni muhimu akajitetea kwa heshima na staha mahakamani na kukubali uamuzi wowote wa mahakama kwa mikono miwili maana hiyo ndio itakua haki anayostahili kulingana na tuhuma dhidi yake.
Ni muhimu daima akawa jasiri mwenye matumaini 🐒
Mungu Ibariki Tanzania.