Kiwango cha mshahara

matengele

Member
Joined
Aug 23, 2011
Posts
42
Reaction score
4
Ni matumaini yangu kwmb wana jf mpo poa!naomba kujuzwa kiwango cha mishahara kwa hawa wakala wa barabara tanzania TANROADS hasa kwa nafasi za WEIGHBRIDGE OPERATORS!Nimeona salary scales km vile TAN SCALE 3.1,TAN SCALE 4.1,TAN SCALE 5.1,TAN SCALE 6.1 ila sijajua kiwango halisi kw izo scale zao!naomba mwenye info zaidi anisaidie!nawasilisha kwenu great thinkerz thanks!
 

Nenda TANROADS, utajibiwa vizuri swali yako.
 
Sio lazima TANROADS uende, Hii ni forum so kuna m2 atakupatia jibu zuri, labda anaweza akawa mfanyakazi wa TANROADS au.....vuta subira

poa mkuu nashukuru kwa maneno yako y busara!hao watu wengne ni kuwapotezea tu ili kuepuka shali!
 
umeitwa kwenye interview?... kujua kiwango cha mshahara hakitasaidia....... wakati wa interview wakikuuliza kama una chochote waulize hilo swali
 
umeitwa kwenye interview?... kujua kiwango cha mshahara hakitasaidia....... wakati wa interview wakikuuliza kama una chochote waulize hilo swali

ndo maanake kaka!nimeitwa interview post y weighbridge operator!ndo maana nilitaka kujua mapem viwango vy mishahara vya hawa jamaa wa tanroads!
 
Uzuri tanroadsni serikali, mshahara especially kwa.positions ambazo sio managerial hauko negotiable. Fanya interview ukuwe mupole. Watakunyonga wenyewe.
 
kwa operator take home ni 1 m na elf 70(salary plus allowance) ... kwa shift incharge take home inakaribia 1.3
 
Kama kuna mtu anajua pia NEMCGSS 2 ni kiasi gani?
 
Duh! Sijapata jibu, ngoja nami niulize, hivi TANROADS salary scale 2.1 ni Tsh ngapi wakuu.
 
Kwa post za HRO mwenye kujua take home as per Tanroad Salary Scale.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…