yaani kuna wati wana matatizo jaman cjui laana. mtu yuko free tu ukiangalia hao ndo wanaambiwa wamevamia fani cjawah ona waalimu kama hawa . halafu tunajiuliza kwanini watoto wanafeli wakati sababu inaonekana .
Kuna Siri gani hapo sasa..
Nani hajui kuwa mwalimu wa shahada anaanza na TGTS D, Diploma TGTS C na Cheti ni TGTS B,, wambieni ili wajiandae kisakolojia.. Hii ni dunia ya utamdawazi JAMANI tubailikeni