Mimi ni mkristo lakini nimefumbuka...wapalestina wanaonewa....na dunia inalijua hilo. UN imejaribu mara kadhaa kupitisha azimio; lakini marekani kwa sababu zake za kibinafsi inatumia kura ya VETO kuhakikisha hakuna azimio lolote juu ya hii issue (UN resolution)