Kiwanda cha Vick Fish MwAnza.

SaiGonE

JF-Expert Member
Jul 16, 2015
426
109
Inasemekana kiwanda cha Vick Fish MwAnza kimefungwa na watu kulipwa stahiki zao. Je mlioko MwAnza habari hizi ni za kweli?????
 
Mpaka Tanzania itakuwa kama Cuba , socialism ni ngumu sana , serikali inatakiwa iwe na hela nyingi ili ujamaa ufanye kazi.Bila matajiri nchi haiendi .
 
Hakijafungwa,kimepunguza wafanyakazi kwa kubadilika hali ya biashara soko la minofu ya samaki huko nje,kiwanda hakijafungwa,karibu Rock City
 
Ohoooooo mengine tena haya.
Hatujamaliza mjadala wa Dangote na cement,yamekuja ya Vick na samaki.

Sababu ni nini?Sato hakuna ziwani?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom