Mkuu ni south Korea au north Korea??Kuna tetesi kuwa waliunda makombora chini ya udhamini wa south Korea so wakapigwa mkwara na CIA kwaiyo wakasitisha shughuri za maana pale
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna tetesi kuwa waliunda makombora chini ya udhamini wa south Korea so wakapigwa mkwara na CIA kwaiyo wakasitisha shughuri za maana pale
nikuunga juhudHichi ni kiwanda cha kubangua korosho sahivi
Hili jina halijakaa vizuri. Nyumbu!? KhaaHivi kweli hawakuona jina lingine la kutumia isipokuwa NYUMBU? Yani mtu anunue NYUMBU?
Ni ile Korea ya wakorofi ya kimMkuu ni south Korea au north Korea??
True ni hao north sio southNi ile Korea ya wakorofi ya kim
True ni hao north sio south
Unaijua nyumbu? Unafany kazi pale au umewahi kuwepo? Unajua project gani zinafanywa nao?Nyumbu nimagofu kwasasa
Machine zimeharibika
Wataalamu hakuna
Hakuna strategies wala mission
Kifupi kwasasa hivi nikama museum tu.
Wale wataalam waliostaafu au kuacha kazi pale nyumbu walijiunga pamoja na kuingia ubia na wachina na sasa ndio dealer wa mabasi haya ya Higis kama sikukosea spelling yakeNyumbu nimagofu kwasasa
Machine zimeharibika
Wataalamu hakuna
Hakuna strategies wala mission
Kifupi kwasasa hivi nikama museum tu.
Nakumbuka kipindi mh rais magufuli anaomba kura alisema itafufua kiwanda cha nyumbu
Kumbe holaaa!
Unaijua nyumbu? Unafany kazi pale au umewahi kuwepo? Unajua project gani zinafanywa nao?
huna unachojua.
Wale wataalam waliostaafu au kuacha kazi pale nyumbu walijiunga pamoja na kuingia ubia na wachina na sasa ndio dealer wa mabasi haya ya Higis kama sikukosea spelling yake
[emoji485]Mgonjwa wewe