Kiwanda cha Mafuta Iran chalipuka

Wewe upo sijui tandale umejuaje wanakufa njaa! Punguza au acha kabisa kukaa vijiwe vya kahawa
Duh mkuu kumbe we kijiwe chako ni humu tu.huzunguki mitandaoni[emoji1787][emoji1787][emoji1787] search comparison between the two countries
 
Baada ya kumuamini mzee wako unaenda kumuamini mama wa kiyahudi ambae hakusaidii wala hakujui, emdelea na utumwa
Huyo mama waarabu na wapalestina hawatakaa wamsahau wamemuadika kwenye vitabu vyao vya kumbukumbu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
oooooohoooooo umbeya tenaa
maneno ya kike hayooo
Mashiga wengi hapa bongo na pwani ya ke ni waislam au wakristo maana tuanze kutoa boriti kwenye macho yetu kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787]
Nlikuambia watatukana maana aliwanyoosha day moja ntakuja na story ya huyu "IRON LADY" mwanamke pekee kuwa Waziri mkuu wa Israel

Akiwa kakulia USA baadae akarudi kwao.
 
Mashiga wengi hapa bongo na pwani ya ke ni waislam au wakristo maana tuanze kutoa boriti kwenye macho yetu kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]
huelewekii unayoyaongea mara mambo ya umbeya mara mashiga mara waislam mara wakristo
mbona husomeki kijanaa sijui bint
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…