Kiwanda cha Mafuta Iran chalipuka

Sa uongo upo wapi it is all over the news
 
Si hii ndio source ya taarifa
 
Hakuna habari za kulipuka kiwanda sjui mafuta, hakuna hio, sasa jipangeni vizuri kuna hili jengine keshokutwa [emoji116]
Si hii ndio source ya taarifa
Iran is launching 5 new satellites
The Iranian Space Agency has announced the design of four satellites and the preparation of five more to launch into space, under an Iranian space industry program.
 
Kashavuliwa mtu Dira huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hawa Iran wazembe sana, halafu eti ndio tegemeo la wavaa kobaz dunia yote, hudukuliwa kizembe sana hovyoo tu.
 
daaaaaaah Jamii forum ya siku hizi imekuwa eneo la kuongopeana
yaaani vijana wamehamisha story zao za chini ya mwembe wamezileta humuu...
aiseee wahusika wa hii forum wachukulieni hatua wooote wanaotulisha matango poriiii
 
Israel ni wazuri kwa elimu na ubunifu,, Tazama wampigavyo Iran kisayansi. Nchi za kiarabu zote kama zikipatana na Israel zitabebwa sana kiuchumi kama vile USA walivyo zibeba nchi za EU. UAE hivi sasa wanapanda chati vizuri sana katika kutatua matatizo ya maji safi ya kunywa ambapo Israel ipo masaa 24 kuwaboreshea huduma hii nyeti.Chuki na fitina haziwasaidii Arab league.
 
Hawa Iran wazembe sana, halafu eti ndio tegemeo la wavaa kobaz dunia yote, hudukuliwa kizembe sana hovyoo tu.
Iran ni joka la dunia.hiki sicho kipindi cha kueneza dini na himaya ya shia kinguvu. wao wameleta vita Yemen, na uhasama wa Hisballah + hamas vs israel.acha israel iwateketeze hao wabishi wa dunia
 
Iran ni joka la dunia.hiki sicho kipindi cha kueneza dini na himaya ya shia kinguvu. wao wameleta vita Yemen, na uhasama wa Hisballah + hamas vs israel.acha israel iwateketeze hao wabishi wa dunia
Ww kweli tango pori
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Iran kama N. Korea anahangaika kujimwambafy wakati raia wanakufa kwa umaskini wa kututwa
 
Hawa Iran wazembe sana, halafu eti ndio tegemeo la wavaa kobaz dunia yote, hudukuliwa kizembe sana hovyoo tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wairan wa humu mwanzoni walisema fake news saivi wanadai kiwanda cha Saudia
 
daaaaaaah Jamii forum ya siku hizi imekuwa eneo la kuongopeana
yaaani vijana wamehamisha story zao za chini ya mwembe wamezileta humuu...
aiseee wahusika wa hii forum wachukulieni hatua wooote wanaotulisha matango poriiii
Kanusha kwa facts acha umbeya
 
Yaani mtu anapigwa bonge la konzi kimya kimya anaangalia kulia na kushoto akiona hajaonwa anasema sijapigwa, jamaa anaongeza jingine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…