spray JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 277 Reaction score 241 Feb 12, 2021 #1 Natafuta mtu mwenye kiwanda kidogo cha kusaga unga chenye cheti kati ya hivi BRC au Fssc 22000 Nitampa kazi ya kusaga unga kila mwezi tani 100, sharti uwe na hicho cheti. Nataka kusapoti kiwanda kidogo.
Natafuta mtu mwenye kiwanda kidogo cha kusaga unga chenye cheti kati ya hivi BRC au Fssc 22000 Nitampa kazi ya kusaga unga kila mwezi tani 100, sharti uwe na hicho cheti. Nataka kusapoti kiwanda kidogo.
Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,736 Reaction score 5,683 Feb 12, 2021 #2 Kusaga unga au nafaka ili kupata unga?
olym JF-Expert Member Joined Jul 25, 2019 Posts 265 Reaction score 454 Feb 12, 2021 #3 spray said: Natafuta mtu mwenye kiwanda kidogo cha kusaga unga chenye cheti kati ya hivi BRC au Fssc 22000 Nitampa kazi ya kusaga unga kila mwezi tani 100, sharti uwe na hicho cheti. Nataka kusapoti kiwanda kidogo. Click to expand... Hiko veti vinahusiana na nini? Niuulizie sehemu kama anavyo maana sio mwerevu sana kwenye hiyo sector,..
spray said: Natafuta mtu mwenye kiwanda kidogo cha kusaga unga chenye cheti kati ya hivi BRC au Fssc 22000 Nitampa kazi ya kusaga unga kila mwezi tani 100, sharti uwe na hicho cheti. Nataka kusapoti kiwanda kidogo. Click to expand... Hiko veti vinahusiana na nini? Niuulizie sehemu kama anavyo maana sio mwerevu sana kwenye hiyo sector,..
Jongwe JF-Expert Member Joined Apr 25, 2008 Posts 1,040 Reaction score 666 Feb 12, 2021 #4 spray said: Natafuta mtu mwenye kiwanda kidogo cha kusaga unga chenye cheti kati ya hivi BRC au Fssc 22000 Nitampa kazi ya kusaga unga kila mwezi tani 100, sharti uwe na hicho cheti. Nataka kusapoti kiwanda kidogo. Click to expand... Unga hausagwi badala yake andika kusaga nafaka (Mahindi, mtama, ulezi n.k)
spray said: Natafuta mtu mwenye kiwanda kidogo cha kusaga unga chenye cheti kati ya hivi BRC au Fssc 22000 Nitampa kazi ya kusaga unga kila mwezi tani 100, sharti uwe na hicho cheti. Nataka kusapoti kiwanda kidogo. Click to expand... Unga hausagwi badala yake andika kusaga nafaka (Mahindi, mtama, ulezi n.k)
hapakazit JF-Expert Member Joined Dec 8, 2015 Posts 839 Reaction score 665 Feb 12, 2021 #5 Sio kiwanda cha kusaga unga ni kusaga nafaka unga hausagwi mkuu