fathergetho
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 1,550
- 914
unatakiwa uwe na majiko kuanzia 4 ndio uite kiwanda.Salama wakubwa wa kazi....??
siku kadhaa zimepita tangu tusikie ile kauli ya "UKIWA NA VYEREHANI VINNE (4) ICHO NI KIWANDA KIDOGO"...mimi kama mtanzania nimevutiwa sanaaaa na statement ile na nimeona isiwe shida,nimefungua kiwanda changu cha kuvi_process viazi vikawa CHIPSI..so what i need is mgeni rasmi aje kukizindua hichi kiwanda changu na kama inawezekana ningependa niwekewe na jiwe la msingi pia kiwanda changu kiingizwe ktk orodha na idadi ya viwanda vyetu hapa nchini tanzania.... MUNGU MWENYEZI AKIPENDA NITAONGEZA VIWANDA VINGINE
KARIBUNI NYOOTE KIWANDANI KWANGU,...
.Kiepe yai
.nyama choma
.ndizi rosti
.kiepe kikavu
.tomato na chilli sauce free
.....NAIPENDA NCHI YANGU YA VI_WONDER
Life is so good in Bashiteland.Salama wakubwa wa kazi....??

mwenzake leo katumbuliwa bado yeyeMwijage ni janga kuu, hivi unawezaje kuteua mtu kama huyo na ukampa wizara!!!!
teh teh teh,,,sasa hapo TRA watatupandishia kodiMkuu, naomba hapo hapo kiwandani kkwako na mimi nifungue kiwanda cha kuufanya mchele kuwa wali ili tuende sawa!
Nia ni kuwa serikali ya viwonder
NDIO NIPO KWENYE INTERVIEW YA WATUMISHKiwanda chako kimeanza kutoa ajira mkuu??
[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji24] [emoji23]NDIO NIPO KWENYE INTERVIEW YA WATUMISH