min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 47,362
- 130,864
Copy sio sababu watu hufananaWanaume mmejaliwa roho ngumu yaani damu yako unaikataa au kutoijali. Mimi nalea mwenyewe mtoto baba yake ukimwomba hata 10,000 mpaka akupe anakuzungusha miezi na mtoto alivyocopy na baba yake hadi inakera