Hakuna aliefurahi hata mmoja ,ni lazima miccm waondoke madarakani mtatimiza kila ahadi wazungu wanasema IT IS TOO LATE !!! Leo mmeona mnazama ndio mnamjua Mwenyezi Mungu mafirauni nyie ,WaMtwara mshatupiga sana mshatutesa sana,mshatusingizia ni kituo cha magaidi ,hicho kivuko ni hela halali ya wananchi na ni haki yao sio cha kujisifia ,yaani ukimaliza uchaguzi nacho kinasimama hakuna hela ya kukifanyia ukarabati. Nendeni zenu hakuna aliefurahi hata mmoja !!