ni ukerewe sio geita, nimeongea na watu wa ukara wanasema ni kweli kilizima engines zake na kikachukua masaa ma4 kufika kisiwa cha ukara kutokea bugorora ukerewe wakati ni umbali wa saa 1 tu, geita na ukara ni pande 2 tofauti, unless kuwe na kisiwa kingine huko geita kinaitwa ukara ambacho sikifahamu