Kivuko cha Busisi ni kero

Kivuko cha Busisi ni kero

Mechanist

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2015
Posts
724
Reaction score
494
Sasa imeshakuwa too much! Yaani hiki kivuko kinaboa mara ferry isimame njiani, mwendo kama wa kobe, mara mchukue mda mwingi kusubiria ferry yaani ni taabu tupu. Sijui hii nchi ina laana? Hivi ni lini serikali itatoa huduma bora? Maana si shule, si hospitalini huduma za serikali huwa ni mbovu. Mbona vivuko vya kamanga wako vizuri? Tutakutana 2020.
 
Acha uongo labda umevuka hapo leo tu na tatizo hilo likatokea lakini siyo kila mara kuna matatizo kama hayo unavyodai!!
 
Mimi huvuka kwa hiki kuvuko mara kwa mara. Kuna ferry ya Mv sengerema inaboa mno! Mpiga kasia wa mtumbwi anaiacha mbali mno hiyo ferry. Bora kidogo MV misungwi lakini kwa ufupi hiki kivuko kinaboa
 
Acha uongo labda umevuka hapo leo tu na tatizo hilo likatokea lakini siyo kila mara kuna matatizo kama hayo unavyodai!!
Juzi nilikaa sana kamanga kusubiri ferry, hata tulivyoingia kwenye ferry tulikaa sana hapo zaidi ya dakika45, sikufahamu hata kilichokuwa kinasubiriwa. Busisi nimeshavuka mara nyingi sana na kusubiri ni pale ferry inapokuwa ng'ambo ya pili. Hakuna sehemu ya huduma za jamii isiyo ya kusubiri. Nafikiri uvumilivu ni muhimu.
 
Mkuu kwa taarifa yako ferry za Busisi huenda kwa muda maalum sio kila ikifika inapakia na kuondoka kwa sababu wakati mwingine abiria na magari yanakuwa machache hivyo lazima wasubiri hivyo wanaenda kwa timetable. Unless kuwe na matatizo ya ferry yenyewe!
 
Back
Top Bottom