Kivuko cha Busisi Mwanza hali is nzuri

Kivuko cha Busisi Mwanza hali is nzuri

Baba Ubaya

Senior Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
127
Reaction score
21
Kwa wakazi wa mwanza hali ya kivuko cha busisi kwenda sengerema hali inazidi kua mbaya badala ya kuboreka.
Uvushaji wa abiria hapa na magari ni kero sana.
Hiki ni kivuko cha Serikali tulitegemea hali ingekua nzuri hasa baada ya barabara ya kwenda geita hadi bukoba kuwa lami imefanya magari mengi kutumia kivuko hiki cha kushangaza hali ndo inazidi kuwa ovyo
Ni jambo la kushangaza unafika kuvukoni hapa saa 8 unavuka saa moja.Wausika tunaomba mlioshugulikie hili wananchi tumanaumia sana
 
Hawapajali kwa sasa muda c mrefu wanapitisha barabara pale
 
daini daraja la Kamanga hadi Sengerema kama la Kigamboni
 
Back
Top Bottom