Kivazi cha mnato aibu kwenu madada

Kivazi cha mnato aibu kwenu madada

Eyoma

Senior Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
166
Reaction score
41
Unakuta mdada kavaa kisuruali fulani chepesi kimenataaa kimemchoraaa kama na makalio mpaka makovu name manundunundu yanaonekana, kama ni pichu inaonekana wazi. Kichwa juu anakatiza hadi kichefuchefu.

Jirekebisheni, mwenye picha tuwekee wajione walivyo.
 
Maskani Bongo.jpg
 
Unakuta mdada kavaa kisuruali fulani chepesiii kimenataaa kimemchoraaa kama na makalio mpaka makovu name manundunundu yanaonekana,kama ni pichu inaonekana wazi.huyoooo kichwa juuu anakatiza hadi kichefuchefu.jirekebisheni.mwenye picha tuwekee wajione walivyo.

Hii ni Kweli kabisa, hapa chibichi!! Wadada kwa mavazi ya Aibu tunatisha. Na zaidi wa pembeni tunaona Aibu kuliko wao wavaaji!!
 
Hii ni Kweli kabisa, hapa chibichi!! Wadada kwa mavazi ya Aibu tunatisha. Na zaidi wa pembeni tunaona Aibu kuliko wao wavaaji!!

yaani
kunammoja siku moja alizomewa dodoma stendi kuu alikosa hata amani
 
Kwakweli ni changamoto,lkn chanzo cha yote ni wanaume...wadada wanavaa hivyo ili kuvutia wanaume.
 
Hata nyumba inapokaa kwa muda mrefu huchakaa,kwa hiyo muwaache wapendeze bwana.
Wanawake ni mapambo,na pambo linahitajika muda wote liwe safi ili lizidi kuvutia.
Kama mnachukia mvae miwani msione gere....
Kunyimwa tunanyimwa,hata kuona napo mnataka mtubanie?

"Nlikuwepo":bolt:
 
Unafanya nn kuzuia hali hyo?

Uwezi mbadilisha mtu ambaye hujui a wala b yake. Kalelewa hivyo hivyo tokea utotoni, anatoka kwa wazazi wanamruhusu Kavaa hivyo, hali wanaona u Nusu utupu. Wazazi mwenyewe ndo mavaz ya kidhungu wanayoyapenda. Sasa me Mpira njia naanxia wapi???? Na ukijifanya kuropoka ka mm nisiyejua kuongea, utajuta!!!

"Asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu"
 
Back
Top Bottom