Remmy !
You brought me your comments very cmpo !
But am take this aportunity to provide you some hints as follows ;
> For Man did not come from Woman, but Woman from Man .
Neither was Man created for Woman, but Woman for Man.
(Corinthians 11:8-9 )
> FOR Adams was formed first then Eve .
(1 Timotheo 2:3)
Remmy hebu angalia hayo mavifungu then utafakuri !
It's absolutely not forever this two human being equally !
And the RIB which the LORD GOD has taken from Man made he a Woman and brought her unto the MAN !
Sina maana Wife as being as a servant, but as a companion
with assistance , so that nothin be lack in of honor or of dignity in the obedience which she pays .
Yote kwa yote siungi mkono kua mume na mke wako sawa .
Sikubaliani na wewe, wote waliubwa for each other, Adam hakuwa mkamilifu Hadi pale alipoletewa Eva na Eva si mkamilifu bila Adamu kila mmoja anamtegemea mwenzake tusitafsiri vibaya biblia. Mungu akuuchukua ubavu wa Adamu si maana kuwa hawa amemtegemea Adamu ni uumbaji pengine Mungu hakutaka tutofautiane.
Bado mimba itakuwa ya wote kwasababu wote wameplay part kutoa mbegu, yai na mbegu, each independent haiwezi kuleta mimba.
mimba ni ya wawili....kila mmoja kachangia mimba hiyo kutungwa......na mwanamke ana haki ya kuishi popote pale kuwa na mimba sio kigezo.....
Ila hiyo couple itakuwa inapendana mengine yote mbwembwe tu....
hebu jiulize kimiujiza unatupiwa mimba aliyonayo mkeo angalau ukae nayo miezi miwili tu ungekubali,kwa hakika mimba ni ya mwanamke mwanaume anakuja kuwa mmiliki wa mtoto.utadaije mimba ni yako wakati kaibeba mwingine.Pilot abebapo abiria na ndege Airbus pia yake! Kumbe ?
Alaaa sawa mkuu!