kwakua unaomba ushauri najua itakua ngumu kupata washauri,ungekua unataka wakukusaidia kukuchokoa naimani umgewapata.pole sana.
ukihama puani chokonoa na tigo shennzy kabisa
Unakuta mtu yupo ofisi ya huduma kwa wateja muda wote ye vidole na pua. Mbaya sana. Mwingine bize kutoa vinyweleo puani!
Ili kuacha safisha vizuri pua asubuhi unapooga. Kila ukigusa pua jikumbushe unapaswa kuacha hiyo tabia kwani ni kinyaa kwa wengine. Madhali unajijua, utaiacha karibuni.
Kawaida inachukua siku 90 ili kujenga mazoea fulani.
Pole sana mkuu, asbh vile ukioga safisha sana pua halafu ifute iwe kavu utajikuta hilo tatizo linaisha taratibu, ni vile unahisi labda pua si safi ndio maana unafanya hivyo