Kiukweli nina tabia mbaya sana

Kiukweli nina tabia mbaya sana

Robin Van Mysterio

Senior Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
102
Reaction score
15
Yaani kila nikikaa au nikitembea nna kamchezo ka kujichokonoa chokonoa puani..
Hii tabia binafsi inaniboa sana ila najishangaa nashindwa kuiacha.. nisaidieni ili niiache jamani..
 
Noise picker...bora we unajitambua ipo siku utaacha..wengi hawajitambui ila wanafanya hako kamchezo ka 'kuponkola pua'
 
pole
kuna watu wanaingizia kwenye maziwa wengine mdomoni

mi nina kagabia kakuingiza kwatika blauz kama sijavaa gauni
so solution ni kwamba kama natoka navaa gaun
kama navaa blauz nachomekea

sasa wewe inabidi utembee na kitambaa ukijisikia kuingiza chukua kitambaa jipanguze then utaacha ata the end of the day
 
Nimekuelewa sana mdada... asante
 
Pole sana mkuu, asbh vile ukioga safisha sana pua halafu ifute iwe kavu utajikuta hilo tatizo linaisha taratibu, ni vile unahisi labda pua si safi ndio maana unafanya hivyo
 
Ndo maana huwa sipendelei sana kusalimiana na watu kwa kushikana mikono unless iwe kwenye special occasions ndio nitavumilia.

Sasa ww unachokonoa pua,mwingine anaweka mkono kwenye korodani,mwingine anapenda kujishika ------ etc

Imagine ukisalimiana nao hao wote kwa siku moja!?
 
Back
Top Bottom