Kiuhalisia sina miaka 46 nina 21yrs

Kiuhalisia sina miaka 46 nina 21yrs

Nakuchukia sana

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
548
Reaction score
1,070
Kuna elimu nlkuwa nataka kwenu il njpange na maisha.Ila nliigiza kama mzee ndio niipate mawaidha
Ambachonmegundua,mabachela, hawapendwi.kiuhalisia familia n bora,polen kwa nliyo wa udhi.mm nmezoea utan,ila asanten kwa ushaur

Ila mimi npo hapa chuo kikuu DSM nasomea sheria,ila nna girlfriend, ila nyie mnanipa raha kwel ila mapenzi yaendelee.
 
Unasomea sheria kwa mwandiko huu seriously?

Dah, kweli elimu ya siku hizi ni vilaz,a watupu wapo vyuoni.

Yaani kuandika tu hujui halafu bado unasema unasomea sheria inayohitaji umahiri wa kuandika?😄🤔
 
Back
Top Bottom