BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
nina kiu mie jamani kiu kiu kiu.......
Kiu imenibana jamani..........
Kiu inanitesaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
kiu inaniumizaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
hii kiu niifanyajee?
Tena kiu ya leo ipo wazi kabisaaaaaa, inataka amarula tu.....
Haitaki chochote zaida ya amarula, haitaki savana wala dompo....
Amarula pekee......
Koo linawasha, mate yamenikauka, ulimi unahitaji......
Wapi wake wenzangu cacico, Yummy chini ya usimamizi wa Kongosho, pamoja na mume wetu Asprin angalau mpunguze kiu hii....................................
Hii ina kumbukumbu ambayo siyo nzuri sana, imeua hivi karibuni na hata kesi ya mauaji haijaisha sidhani kama ni mahsusi kwa kiu iliyokusudiwa.Ungepata kitu Jack Daniel's nadhani brain yako ingetulia.
Ryu...ryu..ryu...ryu..ryu...ryu..(king'ora)...jamani Ambulance imeshafika mleteni huyo jamani tutampoteza hivhiv
Hii ina kumbukumbu ambayo siyo nzuri sana, imeua hivi karibuni na hata kesi ya mauaji haijaisha sidhani kama ni mahsusi kwa kiu iliyokusudiwa.
Napita tu nitarudi baadaye, madokta wa kiu wakishakamilisha ushauri!
Kiuuuuu???!
Kam zis way my dia shemeji...iko apo kwa counter!!!