masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,173
- 13,776
Wengine tunamfahamu Charles Kitwanga kivingine, kuliko vile waandishi wa habari wanavyomuonyesha.
Kitwanga ni msomi.
Ni mcheshi na hana madharau, tofauti na ilivyowekwa na vyombo vingi vya habari.
Vile vile namfahamu kuwa ni mtu mvumilivu na husikiliza pale anapoambiwa kitu.
Namfahamu toka miaka yake akiwa BOT.
Tuliyoanza kuyaona kutoka kwake , mimi sikuyaamini maana mengi yalitoka vyombo vya habari
Nilijua yatapita maana ndo misuguano ya kisiasa.
Lakini hili la kuingia Bungeni amelewa, kabisa silielewi!
Pepo gani limemuingia huyu mwakilishi wetu, Mawe Matatu wa Missungwi!
Kitwanga owes us an explanation, au kiungwana tu awaombe radhi wale tulio think highly of him.
Lakini namsihi asikate tamaa, maana hili nalo litapita.