Kitwanga ameanzia mbali!!

Ahaaaaa, ni mbali wadau msibishe! Hebu angalieni 504 yake iliopaki pale TZ 721[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ile ni 404 mkuu wangu
 
Kama kina Zito Kabwe waliadhibiwa kwa kutohudhuria vikao vya bunge kwa utovu wa nidhamu iweje huyu aliingia bungeni akiwa kalewa na asiadhibiwe naye kwakutohudhuria vikao vya bunge? Adhabu ya kuvuliwa uwaziri tu haitoshi.
 
wak

wako juu ya sheria, hivyo kaa kimya maisha yasonge mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…