wamesema wazi kwa wasindikizaji abiria kama vipi ishia nje ya geti sio lazima uingie ndani
Mimi huwa silipi zile 200/= 200/= pale, hata sijui za nini. Nikienda kumsindikiza abiria naenda na ticket niliyosafiria zamani mkoani so naingia nayo na kutoka nayo for free, na kwa bahati nzuri wale mburula wa mlangoni hawasomi
Vyoo vipo ndani kama hujui uliza.
Huduma ya bure hata kwa mkeo upati labda kwa mama yako tu.
ccm = janga la taifa
Mtalaumu CCM hadi siku zenu za kuishi zinaisha mabadiliko yanaanza na wewe
kama anamizigo na anawatoto na hela ya kumpa mbebaji haipo unafanyaje? Halafu utamaduni wetu wa kitanzania wa kumsindikiza mgeni nikuhakikisha mgeni kapanda bus na limeondoka,,je ukiishia nje halafu gari likaahirisha safari na wewe umeishia nje na kurudi usalama wa mgeni wako ukoje na ukizingatia siyo mwenyeji na anamizigo mingi na anawatoto? Try to think big.