.utakapokuta mambop siyo si ndo mwanzo wa kulaumu! lakini kama unajua kabisa basi ukianza kulaumu lazima uwe na matatizo yasiyo kifani. Lakini yote juu ya yote NATURE IS NOT THAT FAVOURABLE. kwa sasa kama wapo waaminifu hadi siku ile basi wakuhesabu sana.
Labda ufanye utafiti wa hali ya juu sana umpate mwenzako kama wewe. Otherwise lazima itakula kwako!
hii ni i'd ya 2 ya himo one yule mtoa ajira mkuu tz ameona ile deci imefail kaja na hii
Vegule ule mkasa wako bado haujaisha?kwa nyongeza, unaweza pia kushauri vijana namna kupata na kulea watoto bila ya kuoa ama kuolewa. am strongly against mariage.
Alaa kumbeHii ni I'd ya 2 ya Himo One yule mtoa ajira mkuu TZ ameona ile DECI imefail kaja na hii
.
nGOJA NI KWAMBIE MTWA, KAMA WANAUME WOTE WAKIDHAMILIA KUSUBIRI WANAWAKE NAO WATASUBIRI KWANI UTAPATA WAPI MWANAUME WA KUKUIBIA HAZINA YAKO. ZAMANI MWANAMKE AKIOLEWA HALAFU WAKAGUNDUA ALISHA UZA ILE DHAHABU BASI ILIKUWA NI AIBU KUBWA SANA KWA UKOO WA MWANAMKE HASA FAMILIA YAKE. KWA HIYO WAZAZI WALISHIRIKI SANA KUWA LINDA BINTI ZAO NA KUWAELIMISHA JUU YA KUTOONJA HADI WATAKAPO OLEWA. LAKINI LEO GLOBALIZATION IMETUHARIBIA KILA KITU NA DNDIO MAANA TUNANDOA ZA MIKEKA SANA.
LAKINI BADO TUNANAFASI YA KUREKEBISHE . KILOA ALIYE MZAZI AJUE WAJIBU WAKE SI KUWANUNULIA WATOTO MIDOLE NA TV BALI HATA KUWAAMBIA MAMBO MAGUMU.
Hii ni I'd ya 2 ya Himo One yule mtoa ajira mkuu TZ ameona ile DECI imefail kaja na hii
nshukuru kwa angalizo hilo, kama wanawake watakataa kabisa wanaume hawana ujanja kabisa, lakini sasa wao wangawa sana na wengine amini usiamini wamezidi nasema wamezidi sana, na wengine ndo hivyo wanakuwa na watu zaidi ya mmoja wadada hao!!
Na kuna wanaume wengi wamedanganywa, si unajua wapo innocent boys. Wengi sana wameingia mkenge mkali. Anyway watu wangu wa karibu walidanganywa wakawa wanamini demu zao, wapo mbali nao, kumbe wanamwe*wa ile mbaya. Hadi kugundua ndoa imetangazwa. Japo wanaume inasemwa ndo chanzo cha mabadiliko lakini wanawake waanze kukataa maombo seriously otherwise kuonja lazima nasisitiza.
hapa umeongea lakini ni pande zote mbili tunatakiwa kulaUMIWA. Hivi mtu USIPO onja ukasubiri hadi kipyenga kipigwe utakufa?? Au utaota upele/ manyoya mwili mzima??. Nasikia kule marekani kuna vilabu kabisa vya wasio onja. Ila onja ojna siyo nzuri na ndio nwanzo wa matatizo yote ya ndoa huna sababu ya kuonja
nitatamani kufikakituoni kwako baada ya miezi mitatu au sita baada ya kufungua, utakuta wengi wa wanaokuja ni wale ambao hawakusomana vizuri kabla ya kuoana.
Kama una nia nzuri, ni vema sana kujua kabisa lakini labda kwa wale wanaoonja kama mbege hapa- pale kule. Lakini kama unaye huyo tu aahh! Bwana!
Anyway ni kweli kusubiri kama pande zote zingekuwa vile, lakini leo hii binti ukitongoza tu anataka alale chumbani kwako, halafu ukikataa ndo mwanzo wa kumkosa. Najiuliza,
una mtu mwingine,
siyo rijali
hujiamini
na ndipo jamaa waliopo mitaani wanamega kiulainiiiii halafu wewe unasubiri siku ya vigelegele.
Halafu ka akina sisi wapenda sherehe kubwa, basi maandalizi miezi! Sikku zote hizo na jamaa kibao wanamsumbua! Unaibiwa live!
Lazima twende na mazingira kiukweli japo inatakiwa hivyo
sifa za mume ninayemtaka....:teeth::whoo::whoo::hungry::A S-alert1:
Asante Lakini kwa vile kuna wanaume wachache wanaotuharibia wanawake zetu tunaowaoa kwa kutongozax2 ovyo Basi dawa ni hawa wadada kuwatia aibu kama wanavyofanya kwa akina fatakiUnajua hakuna kitu kibaya na kinacho leta maumivu kama kujua kuwa uliye mwamini tena kuwa naye maisha yako yote amekudanganya. Pengine umejua hilo siku mbili baada ya kuoana. Ukifikilia safari iliyo mbele unaona ni giza nene. Ndoo maana wengi wamepoteza matumaini kabisa. Kubwa zaidi pale unapo jua kwa alionja kwa nani, pengine ni jirani yako. Ni sawa na mtu kukuvua nguo zote mtaani. Kwa kweli ndoa za sasa ni mateso. Watoto wetu nawahurumia. Usiku mwema.
wewe mwenyewe uko kwenye ndoa? au ulishawahi kuwa kwenye ndoa?, haya mambo yanatatuliwa kwa uzoefu zaidi kuliko usomi.
NB: pia unaweza ukashindwa na majaribu kwenye hii shuhuli, kuna mkarabati ndoa mmoja hapa kijijini ashaweka mimba clients wake hawapungui 4. jamaa wameacha kuhuzuria service zake.
-THE END-
nguli usiwe mvivu wa kuelewa,, wewe ni mtu mzima , kesho na leo utakuwa mzazi pengine tayari. Kwani huji umuhimu wa jambo linalo ongelewa. Pia hatuja sema tunataka fedha wala kitu chochote. La msingi toa mawazo yako ya kujenga najua unayo.
Mkuu jibu maswali ya comrade hapo juu then tuendelee kuchangia mada yako. Unavyojibu tafadhali tufahamishe umedumu kwenye ndoa tajkatifu/serikali kwa muda gani? na yako haijawahi kupata mtikisiko?
tabutupu,umejipangaje ku-respond kwa concerns za clients kama hawa?usijekuta ndo mpango wako wa kutunasa,tunakuja kulia hapo unafariji huku wazima taa eeh?
Mkuu jibu maswali ya comrade hapo juu then tuendelee kuchangia mada yako. Unavyojibu tafadhali tufahamishe umedumu kwenye ndoa tajkatifu/serikali kwa muda gani? na yako haijawahi kupata mtikisiko?
KITUO CHA KUTIBU NDOA NA MAHUSIANO.
KWENU WADAU, NIMEFIKIRIA KWA UNDANI NA NIMEUONA NI MUHIMU SANA NIANZISHE KITUO CHA KUTIBU NDOA ZILIZO PASUKA NA MAHUSIANO YANAYO SUASUA. HUDUMA ZOTE ZITAKUWA BURE . NAJUA UNAWEZA KUWA MIONGONI MWA WATU WANAO TESWA NA UMEKATA TAMAA KWA SABABU NDOA, USIHIFU DAWA IPO.
KAZI ZA KITUO.
1. KUTOA USHAURI WA MATATIZO YOTE NDANI YA NDOA.
2. KUWASHAURI VIJANA WA KIUME WAPATE WACHUMBA WAMINIFU.
3. KUZIUNGANISHA NDOA NA CHUMBA ZILIZO PASUKA.
SASA NAOMBA USHAURI WENU MAANA SASA HIVI NDOA KARIBU ZOTE ZIMEKUFA MAANA MKEO NI MKE WA KILA AMTAKAYE NA MUMEO NI MUME WA KILA MPITA NJIA, NA KILA UNAYE MPATA KUWA NA UHUSIANO NAYE ALISHA CHAKACHULIWA VYA KUTOSHA.
Nimelelewa katika maadili mazuri, ni mkarimu mpole wa kutosha na msikivu. Nimesha tatua migogoro ya ndoa na nimerudisha mahusiano ya vijana yaliyo kuwa yanaelekea kufa. Nimesoma ninaelimu nzuri na uelewa mzuri wa saikologia hasa ya binadamu. usihofu , najua ninaloweza gfanya na nisilo liweza. Najua watu wanavyo teseka.
NAIPENDA KAZI HII. ASANTENI.
Mkuu hongera kwa business idea.
Kuna Dr Temba sijui ni Tembe, Mch. DR Lwakatare naye anatoa hiyo huduma, angalia jinsi ya kupata uzoefu zaidi.
hivi kama nina kila kitu kuna haja gani ya kuolewa,lini huu utumwa wa kuoana utaisha jamani,maana kama nikishikwa natafuta chakula naendelea na utaratibu wangu,ya nini preasure maisha yenyewe mafupi jamani