onyamnyothoche Member Joined Sep 23, 2016 Posts 55 Reaction score 53 Jan 26, 2017 #1 Habari zenu. Naomba kuulizia kituo kizuri cha kurisiti mtihani kwa maeneo hasa ya Mwanza au Geita. Kama unajua kituo kinachofaulisha naomba unijuze nataka nikarisiti mtihani.
Habari zenu. Naomba kuulizia kituo kizuri cha kurisiti mtihani kwa maeneo hasa ya Mwanza au Geita. Kama unajua kituo kinachofaulisha naomba unijuze nataka nikarisiti mtihani.