Kwa wanaume bwana! Ninachojua mwanaume akiisha mwandaa mwanamke wakiwa kwenye harakati za kuanza yale mambo ya kikubwa akipaka kwenye uume wake ama kwenye kichwa cha C.ndom na kuanza kulimana basi mdada atapata multiple orgasm maana atakuwa anawashwa kwa utamu. Hii nimeambiwa na wahenga.....do not try at home. Sasa sijui kama kuna faida nyingine.
Ukienda sokoni nunua 5 Kgs za vitunguu swaumu! Hahahahahahahaahahhah heshima itarudi bila shaka
Mkuu hapo umeniacha hoi kwani Palestina mpira haudundi?Babuuuuu . . . . Viatu sio tatizo,
Mimi sio Taifa Stars kwamba nakubali kucheza game za kirafiki hata na Palestina
Sasa hapo nakuza kiwango au nashusha??
SASA JAMANI SI HAKI SAWA KWA WOTE?.....:laugh:
wee mimi ni mzee tu sijawa babu tafadhali!
Mambo ya kuweka msisitizo laazizi!
Mzee/Rev Masanilo niwie radhi....na mama mchungaji pia.......lol......duh,kumbe si wanawake tu wasiopenda kukuzwa hadi wanaume.....lol
Michelle acha kumnyima raha baba mchungaji!!!Bado ni yanki!!
The Following User Says Thank You to Michelle For This Useful Post:Kwenye hilo suala hakuna mzee,wote mayanki tu ndo maana biashara ya viagra waga haidorori,na sasa ni vitunguu saumu....kweli nikikuta vitunguu saumu vyangu havipo baba nani atajua kilichomtoa kanga manyoya ......lol......poa Yanki Masanilo.....:laugh::laugh::laugh:
\
\
Ehhh mama mchungaji ye hashukuriwi ehhhh???:twitch:Haya ntakuletea hivyo vitunguu nione mapigo yake utayapeleka wapi!!!
Kwenye hilo suala hakuna mzee,wote mayanki tu ndo maana biashara ya viagra waga haidorori,na sasa ni vitunguu saumu....kweli nikikuta vitunguu saumu vyangu havipo baba nani atajua kilichomtoa kanga manyoya ......lol......poa Yanki Masanilo.....:laugh::laugh::laugh: