Kitunguu swaumu kilicho sindikwa

Jane Msowoya

JF-Expert Member
Aug 20, 2017
4,046
7,118
Hii, nauza garlic paste, kitunguu swaumu kilichosindikwa
jumla na rejareja
Jumla 4250 kuanzia PC 10, na rejareja 6000

Napatikana dar, Ubungo, mikoani natuma
0714547830

Kwa wale Wa Posta mwaweza kwenda imalaseko supermarket mtapata pale Kwa 6000



01e1767d800f40961e95b43d568044b2.jpg


invest what you are willing to lose
 
Kinatumika kama kipodozi au kwa ajili ya kuungia vyakula?
Unaweza kuweka kwenye chakula, unaweza changanya na asali (tiba nzur sana Kwa wanaume)

Unaweza chua misuli, unaweza kula kijiko kimoja kila siku

invest what you are willing to lose
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom