Kitumbua kimeingia mchanga

hahahahhahaaaaa........pole bana.....c na wewe ukauke tuuu......ana sababu yake may be.....

okay nmejaribu kuuchuna namimi naona kaahtuka naye anaanza kulalama! nimeamini dawa ya moto ni moto
 
Mtoa mada umenigusa moja kwa moja. Lakin hii kitu ikinitokea huwa najichomoa kimya kimya. Hapo sababu kuu ni kuwa anakuwa kapata mwingine au kakuchoka...

pole mwenzangu ndio nimeanza kimya kimya
 

nimefanya hivo wee mpaka nimechoka saiv naona kawaida tu..
anipigie asinipigie...aniapdate asiniapdate is up to yeye ..
 

ndo nimeanza hivoo namuona sikuhizi ananiuliza eti mbona kimya?? kha kha alikua anatilisa kiberiti.
 

ndo nimeanza hivoo namuona sikuhizi ananiuliza eti mbona kimya?? kha kha alikua anatilisa kiberiti mpaka njiti zikamwagika
 

hongera sana.. nami mungu atanisaidia tu... I believe in God the father ALMIGHTY.
 

mapenzi shidaa... pesa ndo kabisa...nishike wapi mimi nahis nadhalilikaa.. waladeee..waladee (teh just singing)
 
Jamani lunavitu tunavifanya katika hatua za awali za mapenzi ni msisimko tu but sio maisha halisi. Wewe hujiulizi dakika 180 kila siku usiku za kuongea ni maisha ama adhabu? Kureport kil nukta unayofanya ni sahihi? Mapenzi yapo moyo.I na ni furah inayo jengeka baina ya watu wawili ke na me. Tupendane, tuheshimiane, tukumbukane na mwisho ya yote tuvumiliane. Tumia akili ya kawaida kuchambua nguvu ya soda na penzi la kweli. Hata soda ukiifungua inapandisha gesi kisha inTulia haimaanishi kuwa gesi imeisha kwenye soda.
 
may be he/she is not financially stable, that is why suddenly changed from previously action, but it sound good if you'll ask
what is the problem instead of just guessing
 
Mapenzi bana mi huwa sms moja tu kwa siku yatosha sihitaji zaidi ya hapo maana nilimwambia weee nikaona naongea na kiziwi hasikii. Ila kwa sasa no stress nimeamua kutulia nione afanyacho. Ila mwisho wa siku anarudi mwenyewe. Watoto wa kike ukiwazoesha upuuzi watakupuuza
 

umeongea point mpaka nimekupenda..
 

okay lem wait and see
 
may be he/she is not financially stable, that is why suddenly changed from previously action, but it sound good if you'll ask
what is the problem instead of just guessing

nkimuuliza tatizo nini anasema mbona hakuna tatizo lolote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…