Kituko masaki: Familia nyingine bana (hakikisheni kuna maji na TP)

Du kaka hii noma sana! Hizi nguo zinaficha mengi sana. Off course mi kwangu choo ni kitu cha kwanza kuliko vyote. Watu ukiwakuta njiani wameulamba utakimbia bwana lkn kaangalie anapoishi penyewe! Njoo ovyo wengine hata usafi ndani wameshasahau lkn yeye ukimwona nje magold, nk.

Maji hamna. Ccm oyeeeeeee......
 
aisee mie ugenini long call hakuna kabisa, naweza kaa hata siku mbili, labda short call tuu
 
Jamani kama alivyosema King'asti ukiingia chooni tena kwa haja kubwa angalia kwanza kama vitendea kazi vimekamilika kabla hujaharibu nawe kuaibika.
 
Pole purity1 Jamani pamoja na mawazo yote mazuri nahisi ndg yetu alikuwa anaumwa tumbo aka kuhar.....,hivi ukiwa kwenye hali hy kuna ujanja wa kuna na kujitayarisha? Na kama bahati mbaya limekupata ukiwa njiani na ndio umekaribia kwenye hy sehemu?Lakini nimekusifu aulivyoweza kuitumia simu kwa haraka-maana hata watengenezaji hawajui huku kwetu simu zina matumizi mengi,ungeweza kuingia kwenye guiness book of records.
 
Duh Faiza umenigusa sana kwa hii comment yako safi sana hata kwenye kujivua gamba kuwa mkali basi si kutetea tuu mradi ni deep green at stake
Siku ingine ukienda kuwatembelea hakikisha unavaa "adult diapers". Unaachia mavituz hapo hapo mnapoongea, nani anajuwa? siri yako!
 
Hapo sijui umetoka kwenu Temeke , halafu unataka ujaribu choo cha kukaa kwa mara ya kwanza, huna aibu si unge malizla mambo yakohuko huko uswahilini kwenu kuliko kujaribisha vyoo vya "Kidhungu" uswahili tuu umekujaa huna lolote!
 
Pia tukumbuke kuwachukua wenzi wetu ili tupate wa kuwapigia simu tunapokosa maji na TP!!
 
Hapo sijui umetoka kwenu Temeke , halafu unataka ujaribu choo cha kukaa kwa mara ya kwanza, huna aibu si unge malizla mambo yakohuko huko uswahilini kwenu kuliko kujaribisha vyoo vya "Kidhungu" uswahili tuu umekujaa huna lolote!
Vyoo vya kizungu bila maji, wewe kweli mtoto wa kishuam.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…