Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,612
- 30,924
Kuna kitu kingine mkuu chakula pale wana tu uzia sawa Na wa zungu wakati kwengine raiya wa nyumbani wana punguzo kubwa mno , huwezi nunua chakula sawa Na mgeni hiyo ipo kwetu tu ! Tena kwa [emoji385] usd!!
Wabongo wengi hawajasafiri nje ya mipaka ni wa kweda nao taratibu tu.Wapi kwingine uliona migahawa ya airport wana bei mbili za raia na wageni ? Iwe kwa dola yen pound euro au shillingi?
Wapi kwingine uliona migahawa ya airport wana bei mbili za raia na wageni ? Iwe kwa dola yen pound euro au shillingi?
Kuna kitu kingine mkuu chakula pale wana tu uzia sawa Na wa zungu wakati kwengine raiya wa nyumbani wana punguzo kubwa mno , huwezi nunua chakula sawa Na mgeni hiyo ipo kwetu tu ! Tena kwa [emoji385] usd!!
Nenda India katafute kazi, sina uhakika kama utakaribishwa, sembuse kupata kazi.Kwani mgeni haruhusiwi kufanya kazi nchini?
Nasafiri kwenda Mwanza flight FN 141 kuelekea Mwanza.
Kabla ya kupanda ndege naamua kupata kipasha moto, kahawa na keki, kwa kiswahili safi kabisa.
Namuuliza mhudumu kaunta aliyevaa shati bkuu, tai na kapendeza, muasia.
Cha kushangaza ananiuliza "what sir?"
Nashangaa, narudia tena kwa kiswahili.
Ajabu jamaa anasena"I dont understand sir"
Namuuliza "how did you get here, and where are you from"
Ananijibu "India sir"
Immigration, mtu asiyejua hata lugha ya kiswahili anafanya nini hapo?
Na ana kibali cha kazi au?
Wapumbavu ndio waliwao!Acha kelele za kishamba. Kwani wewe hufahamu Kiingereza. Isitoshe inaitwa Julius Nyerere INTERNATIONAL Airport. Ukiagiza chai na andazi kwa Kihindi, Kiswahili au Kiingereza ladha ni ileile.
Nchi yetu sijui wanatumia sheria za wapi? Wachina kibao kariakoo wanaletana tu.... Kazi ambazo mtanzania alishia std 7 anaweza fanya wao wanaleta wakwao. Sasa faida za uwekezaji nini kama wazawa hawafaidiki? .......nenda kanunue bidhaa kariakoo... Mchina ndo porter, ndo store keeper,ndo muhudumu na cashier... Ukimkuta mmbongo mmoja labda tena kazi yake kufuta vumbi tu.Nenda India katafute kazi, sina uhakika kama utakaribishwa, sembuse kupata kazi.
Sasa na wewe hata tu waiter na waitres au receptionist watokee nje?!?!Acha kelele za kishamba. Kwani wewe hufahamu Kiingereza. Isitoshe inaitwa Julius Nyerere INTERNATIONAL Airport. Ukiagiza chai na andazi kwa Kihindi, Kiswahili au Kiingereza ladha ni ileile.
Ndiyo. Ni International Airport. Wapo Watanzania wengi wanafanya kazi za umachinga Uchina.Nchi yetu sijui wanatumia sheria za wapi? Wachina kibao kariakoo wanaletana tu.... Kazi ambazo mtanzania alishia std 7 anaweza fanya wao wanaleta wakwao. Sasa faida za uwekezaji nini kama wazawa hawafaidiki? .......nenda kanunue bidhaa kariakoo... Mchina ndo porter, ndo store keeper,ndo muhudumu na cashier... Ukimkuta mmbongo mmoja labda tena kazi yake kufuta vumbi tu.
Sasa na wewe hata tu waiter na waitres au receptionist watokee nje?!?!