Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,951
- 9,876
Habari za Jumapili familia pendwa!!!
Kwa ndugu zangu waislamu nawatakia mfungo mwema!
Nina uhakika kwa namna moja au nyingine kuna wenzetu wamewahi kukutana na matukio ya kuchekesha wakiwa katika ile shughuli pendwa. Tukio linaweza likawa halikuchekesha wakati ule ila kwa sasa ukikumbuka tu lazima ucheke.
Yaani ex wangu alikua ni mtu wa vurugu sana kwenye mechi... Atakubidua kila aina ya staili yaani ukitoka hapo mwili unauma kama ulikua unalima... Kuna siku katika purukushani bwana kumbe tumebiringita mpka kumaliza kitanda, tukatua chini kama zigo "ndiii'... Tukaangukia kwenye vyombo vilikua kwenye tray pembeni ya kitanda, vyombo vikavunjika... Ile maumivu hayajaingia vizuri tukasikia hodi mlangoni majirani wanatuuliza " kwema humo?"... Yaani tuliganda kama tulivyodondoka na kuuchuna kama hamna mtu ndani huku mimi nakufa kwa kujizuia kicheko.