Kituko cha Jumuiya ya Madola - Kwikwikwikwikwi

President of China

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
31,687
Reaction score
89,692
Kwa mujibu wa kanuni walizojiwekea wenyewe mwakilishi maalum (special envoy) atateuliwa na Katibu mkuu baada ya nchi mwanachama kuomba usuluhishi.

Lakini katika kituko cha karne bila kuwepo ombi la serikali ofisi ya Katibu Mkuu imekurupuka nakumteua aliyekuwa raisi wa Malawi kuwa special envoy.

Tanzania ikitaka inaweza kufanya mambo mawili:

1. Kumkataa huyo msuluhishi
2. Kuamua kumpokea na kumsikiliza halafu baadae kupuuza ushauri wake.

Walichofanya ni sawa na mtu agombane na mkewe na wasiombe hata washenga waje halafu ujitokee zako na kuwaambia "Mimi nimeteuliwa na kijiji niwasuluhishe".

Hutafanikiwa.

Serikali mwacheni aongee na kina Heche na Bagonza wamue watakacho. Lakini nyie tuleteeni maendeleo. Haiwezekani aje mtu kutuambia tufanyeje kuhusu katiba, tume, n.k. Hayo ni yetu wenyewe. Hata sisi hatuwezi kwenda Malawi kuwaelekeza wafanyeje kuhusu katiba, tume ya uchaguzi, n.k.

Ama hatuwezi kwenda London kuilekeza serikali Yao namna ya kupatana na "PALESTINA ACTION GROUP" ambao waliweza kuharibu ndege za kivita kwenye Kambi ya jeshi. Hayo ni yao hayatuhusu.

Mambo yetu tutapanga wenyewe bila kujali kuna Common Thieves.
 
Chawa TAHIRA
 
Sasa unamwambia nani mmetepeta

dalili moja wapo ya kutepeta ni matusi mmetepeta kubalini GenZ ni kama mbwa mwitu wanakunyofoa taratibu unajikuta umeisha
Unasumbuka tu bure mdogo wango. Kwikwikwikwikwikwikwi
 
Kwa mujibu wa kanuni walizojiwekea wenyewe mwakilishi maalum (special envoy) atateuliwa na Katibu mkuu baada ya nchi mwanachama kuomba usuluhishi.

Lakini katika kituko cha karne bila kuwepo ombi la serikali ofisi ya Katibu Mkuu imekurupuka nakumteua aliyekuwa raisi wa Malawi kuwa special envoy.

Tanzania ikitaka inaweza kufanya mambo mawili:

1. Kumkataa huyo msuluhishi
2. Kuamua kumpokea na kumsikiliza halafu baadae kupuuza ushauri wake.

Walichofanya ni sawa na mtu agombane na mkewe na wasiombe hata washenga waje halafu ujitokee zako na kuwaambia "Mimi nimeteuliwa na kijiji niwasuluhishe".

Hutafanikiwa.

Serikali mwacheni aongee na kina Heche na Bagonza wamue watakacho. Lakini nyie tuleteeni maendeleo. Haiwezekani aje mtu kutuambia tufanyeje kuhusu katiba, tume, n.k. Hayo ni yetu wenyewe. Hata sisi hatuwezi kwenda Malawi kuwaelekeza wafanyeje kuhusu katiba, tume ya uchaguzi, n.k.

Ama hatuwezi kwenda London kuilekeza serikali Yao namna ya kupatana na "PALESTINA ACTION GROUP" ambao waliweza kuharibu ndege za kivita kwenye Kambi ya jeshi. Hayo ni yao hayatuhusu.

Mambo yetu tutapanga wenyewe bila kujali kuna Common Thieves.
Mlivokuwa mnalipana miposho henyahenya kwa midola ya jumuiya ya madola ulifikiri nguvu Yao inaishia kwenye kuwapa tu misaada eeh? Tuliza kende kama unazo.
 
Mlivokuwa mbalipana miposho henyahenya kwa midola ya jumuiya ya modola ulifikiri nguvu Yao inaishia kwenye kuwapa tu misaada eeh? Tuliza kende kama unazo.
Tanzania ni maji. Watajileta wenyewe tu. Hatuna muda wa kubembeleza mtu. Hata wewe utajiletea mwenyewe udungwe
 
Kwa mujibu wa kanuni walizojiwekea wenyewe mwakilishi maalum (special envoy) atateuliwa na Katibu mkuu baada ya nchi mwanachama kuomba usuluhishi.

Lakini katika kituko cha karne bila kuwepo ombi la serikali ofisi ya Katibu Mkuu imekurupuka nakumteua aliyekuwa raisi wa Malawi kuwa special envoy.

Tanzania ikitaka inaweza kufanya mambo mawili:

1. Kumkataa huyo msuluhishi
2. Kuamua kumpokea na kumsikiliza halafu baadae kupuuza ushauri wake.

Walichofanya ni sawa na mtu agombane na mkewe na wasiombe hata washenga waje halafu ujitokee zako na kuwaambia "Mimi nimeteuliwa na kijiji niwasuluhishe".

Hutafanikiwa.

Serikali mwacheni aongee na kina Heche na Bagonza wamue watakacho. Lakini nyie tuleteeni maendeleo. Haiwezekani aje mtu kutuambia tufanyeje kuhusu katiba, tume, n.k. Hayo ni yetu wenyewe. Hata sisi hatuwezi kwenda Malawi kuwaelekeza wafanyeje kuhusu katiba, tume ya uchaguzi, n.k.

Ama hatuwezi kwenda London kuilekeza serikali Yao namna ya kupatana na "PALESTINA ACTION GROUP" ambao waliweza kuharibu ndege za kivita kwenye Kambi ya jeshi. Hayo ni yao hayatuhusu.

Mambo yetu tutapanga wenyewe bila kujali kuna Common Thieves.
ubongo wako ulihamia kwenye makalio lini?
 
Andaeni matyako yenu hayo yawe safi watu wanaenda kugawana muda si mrefu
 
Back
Top Bottom