Kwa mujibu wa kanuni walizojiwekea wenyewe mwakilishi maalum (special envoy) atateuliwa na Katibu mkuu baada ya nchi mwanachama kuomba usuluhishi.
Lakini katika kituko cha karne bila kuwepo ombi la serikali ofisi ya Katibu Mkuu imekurupuka nakumteua aliyekuwa raisi wa Malawi kuwa special envoy.
Tanzania ikitaka inaweza kufanya mambo mawili:
1. Kumkataa huyo msuluhishi
2. Kuamua kumpokea na kumsikiliza halafu baadae kupuuza ushauri wake.
Walichofanya ni sawa na mtu agombane na mkewe na wasiombe hata washenga waje halafu ujitokee zako na kuwaambia "Mimi nimeteuliwa na kijiji niwasuluhishe".
Hutafanikiwa.
Serikali mwacheni aongee na kina Heche na Bagonza wamue watakacho. Lakini nyie tuleteeni maendeleo. Haiwezekani aje mtu kutuambia tufanyeje kuhusu katiba, tume, n.k. Hayo ni yetu wenyewe. Hata sisi hatuwezi kwenda Malawi kuwaelekeza wafanyeje kuhusu katiba, tume ya uchaguzi, n.k.
Ama hatuwezi kwenda London kuilekeza serikali Yao namna ya kupatana na "PALESTINA ACTION GROUP" ambao waliweza kuharibu ndege za kivita kwenye Kambi ya jeshi. Hayo ni yao hayatuhusu.
Mambo yetu tutapanga wenyewe bila kujali kuna Common Thieves.
Nawasilisha
Mzalendo wa kweli
Kizibao bin Magufuli