Kitu roho inatafuna..

'dah,hebu ngoja ntarudi mkuu teh'
 
Hicho kilikua hakina pea yake dukani so wamepewa hakijawahi valiwa!
 
Na mvua ikinyesha natumaini hiyo sahani inafanya nyingine!
 
Hii picha naona siyo bongo hii itakuwa dafur kwa sababu bongo ni maisha bora
 
Huyo babu ball zote ziko wazi, inaelekea hajawahi kuvaa nguo tangu azaliwe, sasa kwanini kiatu wasinywee chai!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…