Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
- Thread starter
- #21
mkuu napenda kukushauri lakini sijakuelewa kwenye uzi wako unataka ushauri gani..
unasema umeshindwa kununua kabisa alaf kwa wakat huo huo unatuambia ulinunua lkin mjomba hakufanikiwa kusimama kidedea ebu tufafanuliee...
Kuna siku nilipiga moyo konde nikaingia kwenye hilo danguro la sudani pale ili namimi nipate huduma yao, lakini niliishia kuingiwa na hofu hadi mzee hakufanikiwa kusimama. kichwani nilikuwa najiuliza maswali mengi sana. nilikuwa najiuliza hivi kweli mimi Kozo kijana wa Okamoto ndo nimefikia hatua hadi ya kuingia kwenye madanguro?Pia nilikuwa naogopa naona kama vile siyo safe
