Kwa kweli hizo sifa wanazomiminiwa kwenye mitandao ya kijamii wengine imefikia hatua tunawadharau mpaka mabinti/wake zetu huku bara.
Wazee wa kuliamsha dude tupeni walau dondoo muhimu za hao watoto wa kitanga,je wana handle vipi hao mabinti?inamaana huko hakuna binti ambaye hajaolewa/kuachika?mapenzi yao ni ya aina gani kiasi cha kuwafanya wanawake wa huku madongo kuinama waonekane hawana maana kabisa.
Hongereni sana mnaomiliki watoto wakitanga,nikiuza mawese nitawatembelea