ha ha gari moshi hilo duh, ole wako likukute njiani kwake
Eti niliambiwaga mbele yanasumaku,
Ni story tu mkuu maana zamani vijana walikuwa wanaishi kwa mifano mbalimbali li wasijekufanya kitu kitakachowasababishia madhara...mfano ni ukikojoa mtoni mama yako atachukuliwa na maji au mtu akiruka mkojo wako mama yako atakatika matiti so watoto wanakuwa wanaogopa.na hili dude wametishwa kuwa lina sumaku mbele ili wasilisogelee wakae mbali...hahahaaaaEti niliambiwaga mbele yanasumaku,