Daah! Ebana wadau, hivi nani anaweza nkumbusha kitu cha "jaiving" enzi zile za sunday-school, afu tukalinganisha na hii kitu yao humu wao wanaita "Kwaito" cjui kitu gani vile, naona ma'raia wanagonga step ile mbaya hapa ndani ya babylon club, hahaa ....!